Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Watazima Twitter au itakuwaje?
View attachment 1942384
Alidhani ni rahisi kama kutamka alipokua anasema anakwenda kufungua nchi!

Ukiwa kiongozi huwezi kuwaridhisha watu wote katika mambo yote, wewe fanya lile ambalo hata nafsi yako haita kuhukumu kwa ubaya.
 
Anapaswa kusimama katika haki kama ilivyoainishwa katika katiba yetu. Kazi rahisi sana yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…