Unamsomesha hili uwe unakula chakula kizuri
Sasa wewe usifananishe na hao wa hovyo,,,,omba MUNGU Upate mke uendane nae,wapo we ng I wazuri kwa sura na vyote,
Kama wampenda kweli wataka awe mkeo,fanya akija kwako mkabidhi jiko ujionee,
siyo mnaenda kununua viepe kwa mpemba.