Dawa hizi hapa tena ziko on sale. Chagua moja nikutumie. Hiyo Allegra mimi ndiyo hutumia. Running nose (mafua), watery eyes, sore throat, coughing inazima mara moja. Na unakunywa kakidonge kamoja tu for 24 hrs. Nitatupiamo na Allegra D kama Allegra ya kawaida itaelemewa.
Ukienda hospitali utapata pia dawa kwa sababu hizi pia zinauzwa kwenye maduka ya dawa.
View attachment 1940974