Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mbona mataifa mengine ya Africa wana mijadara ya kitaifa kuhusu mustakabali wa nchi zao kwa miaka 10,20,50 na tunaona hatua zinapigwa?!
Kwanini sisi hakuna vitu vinavyoweza kutuleta pamoja kama watanzania na kuongea lugha moja kwa maendeleo ya vizazi vijavyo?!
Hivi waarabu wamewezaje kujiinua kiuchumi pamoja na kukosa raslimali tulizonazo Africa?! Kuna wakati natamani siku zirudi nyuma "Jiwe" awe hai,naamini kuna nati zetu zimelegea mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…