Hiviii hatuwezi kabisa kuishi bila kutegemea ufadhili/misaada nchini?!
Tunawezaje kuvuka hapo na kusimamia vitu vyetu wenyewe,kufanya maamuzi yetu wenyewe nk?!
Akili yangu leo sijui imekula nini?
Any way,usiku mwema wadau,nawapenda sanaa.
View attachment 1928466