Vituko mitandaoni. Tupia chako

Asante mkuu. Wengine JF ndo kijiweni tunakuja kuburudika na mambo siyo siriazi kivile. Ile yule mod wa juzi nimemvulia kofia. Niko JF tangu 2014 na hii ya juzi ilikuwa ban yangu ya pili; na kosa lenyewe mpaka sasa silijui. Ban ya kwanza niliipatia kule Jukwaa la Siasa wakati wa uchaguzi 2015 na nikapakimbia mazima yaani. Wakiendelea kupita na hapa kijiweni kwetu kugawa ban itabidi tu kupumzika mazima aisee...
 
Hivi huwa kuna kuwa na onyo kama mtu amekosea kabla ya ban?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…