Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sema ushabiki wa Simba na Yanga [emoji119][emoji119]
Ni ushabiki wa kipekee na wenye raha sana...pande zote mbili zinafurahisha,

Na utafurahi zaidi ukiwa ukiwa hauna hasira na presha,ukiwa na hivyo vitu utakufa mapema au utapigana kila siku[emoji16][emoji16][emoji16]

UTANI NA UENDELEE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…