Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ahadi ni deni.
Kocha wa Royal Antwerp Fc ya Ubelgiji Brian Priske, akienda kwenye mkutano na waandishi wa habari akiwa amejifunga taulo.
Kocha huyo aliweka nadhiri ya kuongea na waandishi akiwa nusu uchi mara timu yake ikifuzu kwenye Ligi ya Europa.
Ametimiza
 
Achana na hizo.
Mziki wenyewe huu hapa

Mtuwache wahenga, wahenga tulikula maisha na visenti hivi aiseee



Mzee SYB weka nenoView attachment 1919786
Ilikuwa shilingi moja hiyo unakwenda nayo mjini sikukuu ya Sabasaba unapata maandazi na skonzi za kutosha; na jioni unarudi home na mzigo wa miwa...na chenji inabaki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…