Demu ana marafiki wa kiume wanne halafu anajishebedua eti hakuna aliyewahi kumkula. Liar !!!
View attachment 1917412
We msukuma wewe[emoji23]Demu ana marafiki wa kiume wanne halafu anajishebedua eti hakuna aliyewahi kumkula. Liar !!!
View attachment 1917412
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mateso bila chuki
Hahahahahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi haujakutana na demu tom boy anajimix na wanaume balaa lakini haliwi, kwanza hatongozeki kabisaa na humwambii kitu kuhusu mijadala ya kidume, anaijua line up ya Simba/Yanga/Man U/Arsenal....magari....siasa ndio haachwi nyuma, kadhia yote ya Afghanistan atakusimulia, mkanganyiko wa mavita vita Syria atakueleza kila kitu......
Kijiweni anabishana na maboys kwenye kila topic, demu akipita mkali mkimtazama na yeye macho humo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mateso bila chuki
Bro hiyo kitu tulianza kula pale mtaa wa Temeke, kwa Sokota kitambo sana.Sokota imeanza lini hiyo, maana Sokota ni maeneo yangu hayo tangu 2009 nakesha maeneo hayo!
Wanawake pasua kichwa, ukiwafikiria sana utakaa mbali naoShangaa na wewe mkuu [emoji16]
View attachment 1917403
Duh hii nyama ngumu kama ukiamua kuipika japo ni steki tupuMsuli motoView attachment 1918105
"Ukiona mtu mzima maama, analia mbele za watu ujue kuna jambo"------ TX Moshi WilliamView attachment 1918107