Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Uwongo mwingi kuliko ukweli hapa.
Umetushauri hapo juu tuache kwa vile memes hazina future hapa tena unatutia moyo tuendelee ili tuzidi kukosa future. Au ndo umeanza falsafa zako? Kwema huko lakini?Wala msiache wakuu maana bila ninyi mnaoshea meme maisha yangekua magumu asee[emoji23][emoji23]
Navyokupenda kucheka sasa
Ndio maana nikaileta hukuUwongo mwingi kuliko ukweli hapa.
1. Hela alizoiba, japo haijulikani idadi kamili, wengi wanaamini hazikuzidi bilioni 1. Bilioni 40 ni pesa nyingi sana!
2. Hakuwahi kuhukumiwa kunyongwa; na wala hakunyongwa. Yuko hai bado, japo yuko jela bado.
3. Alipewa nickname ya smiling hacker kutokana na tabia yake ya kupenda kutabasamu akiwa mbele ya media wakati wa kesi zake.
View attachment 1909275
Marehemu alikuwa anakojolea pazuri jamani. Mwenye kisu kikali ndiye anakula nyama. Haya jamani jimbo liko wazi hilo
Anataka kubokolewa huyo wadudu wadogo wadogo wanamnyevua nyevuaHuwaga sielewi kabisa logic ya mlegezo hasa huu wa kuonyesha makalio. Mwanaume unapofanya hivi; unategemea nini? Why?
Utambulisho urudiwe urudiwe
Kuna wanaume wana bahati [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1908845
Uko mjanja sana. Baada ya kufunga kilinge sasa unapatikana wapi? Would like to meet you one of these daysNdio maana nikaileta huku
Ila kushikiwa panga napo inaweza kuwa kasheshe ukashindwa hata kupiga shoo [emoji16][emoji16]Dah!! Sijui wanawake wa kihivi hupatikana mitaa gani niwe najipitisha pitisha....
Ukiwasikiliza motivesheno spikazi unaweza kuacha kazi na kwenda kuanza kulima matikiti. Hatari sana [emoji16]Na wale wanakwambia acha kazi nenda shamba kunalipa,muambie akuonyeshe la kwake kwanzaView attachment 1909318