Vituko mitandaoni. Tupia chako

Haya mambo ni kila mtu na lwake kwa sababu hayana fomyula; na wala hakuna haja ya kuyafanyia majumuisho butu (myopic generalizations) wala kuyaandikia tasnifu.....Majimama for life

View attachment 1908707
We hujui tu! Steak tunawaachia nyie wa masaki!
Sisi huku uswahilini nyama iliyo kwenye mfupa ndio tamu!!
 
Hahhaa huyu jamaa mjinga sana
akikosa kazi atalaumu ajira ngumu
View attachment 1908852
Hii sio Meme ni ukweli, Hakuna future kwenye meme. Zisitupotezee muda mwingi unless ndio kaz yako

Asante kwa ushauri wako. Ila meme mi binafsi siachi. Ndo uraibu wangu (na misambwanda
). Future tutakuja kukopa kwenu ambao mko siriazi na maisha!
 
Ukweli hautausikia...utasikia wanachotaka usikie. Utakuja kusikia Hamza alikuwa na matatizo ya akili...

Yeah! Dhuluma inafika mahali mtu unasema liwalo na liwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…