Vituko mitandaoni. Tupia chako

Haya mambo ni kila mtu na lwake kwa sababu hayana fomyula; na wala hakuna haja ya kuyafanyia majumuisho butu (myopic generalizations) wala kuyaandikia tasnifu.....Majimama for life [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1908707
Kweli. Mzigo umetulia. Hasa kama ni mfuasi wa shetani mlaanika,hapo ndo pakuongezea dhambi zote!![emoji85][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli. Mzigo umetulia. Hasa kama ni mfuasi wa shetani mlaanika,hapo ndo pakuongezea dhambi zote!![emoji85][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kila mtenda dhambi ni mfuasi wa shetani mlaanika basi wote ni majiganyanza. Labda tunazidiana viwango tu but again it doesn't matter kwa sababu hakuna dhambi ndogo na kubwa na ukivunja amri moja basi umevunja zote. Therefore; your logic is illogical here!

#TutaokolewaKwaNeemaTu
#Tusichekane
 
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1908780
Makomwe siku hizi yanapunguzwa kwa operesheni [emoji16][emoji16][emoji16]


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…