Vituko mitandaoni. Tupia chako

Simaanishi ubaya lakini sidhani kama Mpango afya yake ni nzuri. Tangu augue waliyosema Korona wakati ule nadhani hajapona sawasawa. Hata kwa kumwangalia tu. Labda alipata ile inaitwa Long haul Covid - unapona lakini unakuwa na madhara ya muda mrefu na unapona polepole. Ubaya hawa wakubwa hawasemagi hata kama wanaumwa.

Mungu Amguse na mkono wake wa uponyaji wa kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…