Vituko mitandaoni. Tupia chako


Nipaniki kwako wewe mtani wangu wa miaka na miaka humu? We ukiniudhi si nakuibukia tu kwako nakupa za uso na mipasho ya Kisukuma yanaisha bana?

Kuna maana yangu kusema hayo yote...na labda nikuulize. Kuna mafurushi ya kike pia au mafurushi ni ya kiume tu?
 

Sasa ulivyonishushua!!! Ukiibukia kwangu nakumwagia maji ya ukoko wa ugali, halafu nakimbia.

Hakuna furushi la kike, ukiona unamuona mwanamke haeleweki basi tazama wanaume wanaomzunguka, iwe kaka,baba,mume,mpenzi,rafiki nk

Hivi mwanamke anakuwaje furushi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…