Kuandama ni haki, polisi wajibu wao ni kuwepo kwa kulinda usalama bila ya kuzuia maandamano. "Kukung'uta" waandamanaji ambao hawafanyi vandalism ni uvunjaji wa haki za raia, polisi lazima nao wawe guided na sheria yaani wafanye kazi kwa weledi.
Duh! Wamefika huko..Afrika tuna nini zaidi ya kuzaliana, tumekua mzigo kwa wengine dunia hii, ndio maana tunaogopa labda watakua na mbinu zao za kutupunguza kwa kutumia chanjo.