Leo ndiyo nitajua kama nina mjukuu anayenisikiliza ama la! Akikimbilia kwenye chumvi na kuacha pdf (elimu) nitashangaa sana. Na inawezekana nitamsusa kabisa na kumtenga mimi na ukoo wote. Ujukuu na ubabu waweza koma leo hii hii dadeki
Mjukuu njoo ukate mzizi wa fitina huku nijue moja.