Dogo alinisimulia wakiwa boarding waliamka kwenda kunywa ule uji wa saa 11asubuhi,wamekunywa fresh sasa ile wanamalizia kunywa wale wapishi nao ndio wanamalizia kugawia wanafunzi wengine uji wa chini kwenye yale mapipa ndio wanaona lipaka limefia humo halafu limechambuka chambuka ile mbaya[emoji16]Vijijini huko enzi zile tunasoma unaamka asubuhi unakuta eti sisimizi kibao wamejichanganya wameingia kwenye maziwa ya mgando. Unaona wanakupotezea muda bure. Unawavurugiamo kwenye maziwa halafu unawanywa humo humo. Siku nzima unacheua vitamin tu yaani afya kede kede. Mamende siyapendi hasa yale makubwa ila hawawezi kunifanya nikatupa chakula changu - hasa kama ni ugali na nyama. Nevaaa !!!
Unajua hata mimi najiuliza,ni nchi gani atakanyaga sasa hivi bila chanjo?au ndio kaamua kukomaa hapahapa Bongo bahati mbaya,au ndio kudanganyana?Gwajima mjanja. Safari zake za Japan na kule alikoahidi kuwapeleka wanaKawe anakwendaje bila chanjo? Kibwetere mjanja sana huyo!
Oh no!Dogo alinisimulia wakiwa boarding waliamka kwenda kunywa ule uji wa saa 11asubuhi,wamekunywa fresh sasa ile wanamalizia kunywa wale wapishi nao ndio wanamalizia kugawia wanafunzi wengine uji wa chini kwenye yale mapipa ndio wanaona lipaka limefia humo halafu limechambuka chambuka ile mbaya[emoji16]
Kilichofuata hapo ni kila mtu kufa kivyake [emoji1]
😬😬😬Acha kudeka binti, inawezekana tu.
Eeh! Shikamoo mapenziNilipenda,nikatendwa,nilipata tatizo la moyo,nilipukutika mwili[emoji16] lakini nilikuwa napata usingizi kama kawaida
Na kamwe asidhulumiwe kama juzi ulipodhulumiwa vocha na Voda Com [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ameen[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1893854
Nilishapona moyo ulikuwa unalipuka,unapiga shoti hadi miguuni[emoji16]Eeh! Shikamoo mapenzi
Yaani mpaka moyo ukaanza kupoteza umeme mjukuu? Sasa umeshapona?Pole sana....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliwapigia,hawaeleweshi nyau wale,inaniuma sana,aseeNa kamwe asidhulumiwe kama juzi ulipodhulumiwa vocha na Voda Com [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji16]msukuma