Nimeamini wanawake wanaweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja(multtaskers).
Wangekuwa wanatumia kwa faida kama huyu wangekuwa mbali.
Ila hawa wasomi unakuta simu moja iko sikioni,nyingine mkononi anaperuzi halafu mkono mwingine ana rimoti anabadili channel kwenye tv au anakula chips
Mimi kuongea tu na simu kwa ile staili ya kuibana sikioni na begani huku mikono ikiwa bize huwa nashidwa hata nikijitahidi sio kwa mda mrefu