Arsenal ni jahazi linalozama au linazamishwa?Timu ambayo imekuwa miaka yote inauza chipukizi tu,wana academy nzuri ila sasa kwa soka la leo ukitaka na makombe hao chipukizi wakikua usiwauze sana mwisho wake kila mwaka utategemea udhalishe wengine mpaka waje kuzoea inataka muda wenzao wanasajili top wao wanasajili chipukiziView attachment 1892608