Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jamani nimeibiwa na voda,,,voda popote mlipo MUNGU anawaona,,,hela yangu bora ningetoa sadaka kuliko kuweka vocha na kuniibia


Yaani mie leo wakulia kisa vocha
,,,,inaniuma sana,ingekuwa yakupewa nisingeumia asee kwa jasho langu
 
Pole mjukuu. Hayo maumivu unayopata ndiyo hayo huwa tunapata tukituma nauli halafu hamji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…