Vituko mitandaoni. Tupia chako

Halafu huku utakuta mtu anatumia shilingi elfu moja eti afanane na Beyonce View attachment 1891988
Mume wake alikuwa anapenda sana paka hivyo na yeye akaamua kujibadilisha ili kumridhisha. Ajabu mume aliamua kumpiga chini na talaka yao ilikuwa mshike mshike. Mama alilipwa $2.5 billion kwa vile walikuwa mabilionea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…