Ila la kupoteza kumbukumbu na fokasi kwenye mambo ya muhimu ni kweli kabisa aisee. Moderation muhimu sana. Kimoja kwa wiki 2 siyo mbaya kama kuna ulazima wa kufanya hivyo!
Nisahau? I live for that madude. Na japo niko 76 lakini bado niko sharp kishenzi. Nachezaga masudoku na games nyingine za kunoa akili. Sisahau kitu wallahi...