[emoji16][emoji16][emoji16]Long distance relationship.View attachment 1885997
Mkuu ndiyo shughuli zako hizi!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshuka daraja,wakati corona ipo ligi kuu
[emoji1787]
PIRANHA [emoji16]
Bora angemsikiliza mamba, pengine alikuwa anamwambia asiende kuna chui π€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπππ
View attachment 1886226
Ila ukiri kuwa ulizidisha faundesheni [emoji16][emoji16][emoji16]
Tukachanje tu!! Nimejitahidi nisome kiarabu ili macho yangu yasiende kulia ya picha, hata mimi ningechanja mara 5tu!!
Nyie waganga hamna huruma sometimes. Unamchanja mtu namna hii ili iweje?