Wanabadilisha mpaka Biblia ili kuondoa pronouns za she/he ~ her/him. Hata Mungu eti hatakiwi kurejelewa kama He/Him bali inabidi itafutwe pronoun ambayo ni gender neutral. Yaani hawa jamaa wanaopromoti mambo ya ushoga na mkanganyiko huu wa gender sijui hata lengo lao ni nini. View attachment 1857100View attachment 1857101
Ahsante,kitambo sana,...kipindi hicho naona Unaongopewa baba kasafiri atarudi.kumbe washamzika..na ukishajua kafa unachukulia poa tu,akili za kitoto...vile unavyozidi kukua ndio unaelewa sasa na kulia kila leo