Vituko mitandaoni. Tupia chako

Unaongea selfie wakati hata tv hakuna isipokuwa karume aliwawekea tv wale waliojengewa ma flast basi.
Pale makoroboi Mwanza kulikuwa na duka lina Tv ya kununua, tukipita wakati huo tumeruhusiwa kuja mjini tunaliangalia hatukujua picha inatokaje.
Ilikuwa mwaka gani hiyo. Makoroboi mitaa yangu sana hiyo yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…