Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii sio kituko ila ni upumbavu, nadhani huyu mtu kichwani amechomekwa dudu badala ya ubongo

Rubbish sperms

 
Huyu mzee huwa nikimwangalia najikuta nacheka tu
Katika ujana wake alikuwa mwanamapinduzi sana tena mwenye fikra zenye kutoa cheche. Ungemsikiliza enzi zile anapambana kumfurusha Idd Amin ungesema naam! Hapa Afrika imelamba dume.

Tatizo lake ni kukaa madarakani muda mrefu na kwa kadri anavyozeeka ndivyo anavyozidi kuharibu kabisa. Aangalie sana wasije wakamwondosha kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…