Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwambie Mshana Jr aangalie vya kupost, anagusa maisha ya watu huku [emoji23][emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1] huyo dogo mpuuzi tuu...Alinunua ka vitz kabovu kapigwa na madalali wa kibongo basi usumbufu kama wote jukwaani
Ukisoma tu post zake za magari moja kwa moja badala ya kukasirika unamuonea tu huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo nikupe Nini[emoji16]View attachment 1843005
Niliwahi kuambiwa... Huna shukrani wewe.. Ni tundu gani ambalo hulijui kwangu...[emoji3][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji2984][emoji2984][emoji2984][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe mwili wa binadamu una matundu saba[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…