Aaahahahahhhahahahaa looh
Ngoja nirudi kwenye nyuzi zangu nilizoanzisha hapa JF zenye love lyrcs nione nilikulwa mara ngapi....!
Kwani na wewe unapataga wivu ukijua nimekulwa...!
.
Sisi ni Siimbaaa....
.
Umenikumbusha huu wimbo, mashika mashika mashilongo, hooyeeeee...!
.
Shimba iiighhhh...! Ginehee..!