Scarcity is the mother of all inventions. Ipo hoja kwamba Afrika hatukuendelea kama wazungu kwa sababu ya kuwa na natural resources kibao. Wanaume wanne mnatoka tu hapo nje mnakwenda mnaua tembo kijiji kizima kinakula nyama hata mwezi mzima, ugundue mashine za nini? Ukiangalia nchi nyingi za Ulaya hawana kitu na ilibidi kupiga akili kweli kweli ili kupambana na mazingira yao. The curse of Africa - abundance of natural resources...na bado inatupa shida mpaka leo.