Samahani, naomba kuuliza. Hivi mahips za aina hizi zinapita kweli kwenye turnstiles - zile vizuio za vyuma vya kuzunguka zilizowekwa kwenye entrances za stadium? Na zikikwama, zinasukumwa kwa nyuma??

Kiukweli Numbisa ukishanifanya kila siku lazima nipite kwenye huu Uzi wako ili niondoe stress za kutwa nzima.
Endelea kubarikiwa sana na endelea kutuletea vituko