Hii kitu sijawahi kujua kama kweli inauhusiano wowote na mambo ya kitandani. Huwa nakunywa tu lakini sioni tofauti yoyote ya wakati nimekunywa na wakati sijainywa.
Kwa nini mkuu? Wasukuma wacheke ushamba lakini kwenye mambo mengine huko hawako. Walichelewa sana kusoma lakini sasa ndiyo wanaamka amka kunakucha. Ni waaminifu sana usiwaogope