Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwa Tanzania lo lote lawezekana mkuu. Huko kwenu baada ya Muigai hapo mwaka kesho unafikiri ni nani atachukua? Rutto? Odinga? Ila siasa zenu ngumu kidogo kwa sababu zinaingiza na mambo ya ukabila kidogo.

Usimwonee aibu kwenye hio kauli ya ukabila, siasa za Kenya zinaamuliwa na ukabila kwa kiasi kikubwa sana, kama ilivyo Tz chama kwanza kabla ya Mtu na sera!
 

Usimfananishe Hayati Magufuli na vitu vya kijinga. Aaaallaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…