Sivyo unavyofikiria ila jamaa mawazo yake yalifika mbali sana ndicho kilichonichekesha maana comment yake niliipita (sikuielewa),baada ya wewe kulalamika ndipo nikarudi nione kilichomaanishwa
Ila sorry kwa kukukwaza dada yangu
Sent using
Jamii Forums mobile app