Vituko mitandaoni. Tupia chako

Haya mapicha ya kuinanga simba sijayaelewa, maana nilitegemea Simba wakicheza nje ya nchi kisha wapoteze iwe msiba kwa Watanzania wote kwa ajili ya uzalendo.
Mechi za ndani ndio myafanye haya.
Uzalendo upo Kenya ndiyo maana mahakama zenu zinatenda sana haki.Tanzania kuna vichwa vya wendawazimu vinavyotembea.
 
Haya mapicha ya kuinanga simba sijayaelewa, maana nilitegemea Simba wakicheza nje ya nchi kisha wapoteze iwe msiba kwa Watanzania wote kwa ajili ya uzalendo.
Mechi za ndani ndio myafanye haya.
Ni utani wetu tu Watanzania hasa humu mitandaoni. Memes kama zote. Sisi ni watu tunaopenda utani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…