Na kila mchezo una tension yake si kila mchezo unaweza sogeza sogeza mbele ghafla tu...mechi ingechezwa jana saa 11 CHURA angeliwa kichina ila wamefanya figisu mchezo ubadilishwe tarehe..kajipangeni tena na TFF yenu muache utoto na umama mtatuambia tarehe na mda mnaopenda...