Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jamaa alipaswa kumpa talaka yule wife, sema ni vile Jamaa alikuwa na mtoto mgonjwa pale nyumbani, alihitaji uangalizi 24 hrs wa mama yake. na jamaa ni dereva wa malori.
ikaonekana talaka ni ngumu.
Majirani wakaweka mkakati wa kumkomesha yule kijana ili yule demu auguze mwanawe wakati mumewe akipiga safari za Congo.
Ilikuwa ni mchakato ambao huyo kijana pia alipewa angalizo lakini hakusikia.
Ilikuwa ni mbaya, lakini ndiyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…