Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aisee ni kweli, baada ya jibu lako nikaingia chimbo ni kweli korodani zikiondoka ni shida imeingia maana homoni zote za kiume zitaondoka unaweza hata kuanza kuota matiti,kunenepa nk
Kuna wengine tangu wakizaliwa zinakuwa hazijashuka. Lkn ninavosikia kuna operation huwa wanafanyiwa kuzishusha
 
Inawezekana walioana bila 'kushiriki mapenzi na hapa nahisi aliyecheza ni mwanaume maana alijua udhaifu wake nahisi akatumia na ule ulokole wa kuimba injili kwamba wasubiri hadi waoane,walipooana hata mwanamke alipogundua ikawa tena ngumu kuvunja ndoa na unajua ndoa za kikristo na pengine kujulikana kwao kanisani,kwahio ilibidi avumilie kubaki,sasa ndani ya miaka yote 21 hapo inawezakana labda alikuwa anachepuka nje au la hatujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…