Daah yn mpaka naogopaMaisha yetu. Ujanja wote. Hii pampu ya ajabu ikikwama tu, hata kama ni kwa sekunde chache, mbwembwe zetu zote zinakoma [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1718111
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi ni Yanga ila siyo kivile [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sema Yanga na nyie mmezidi bhana[emoji23]View attachment 1718258
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji31][emoji31][emoji196][emoji196]Uto na timu yaoView attachment 1718156
HahahaaaTupo wengi tu [emoji16][emoji16][emoji16]...
Na mwanamke ambaye hachepuki, yupo?
View attachment 1718175
Aiseee Msiba mkubwa Sana kwa vicheche pale ndio Mana Jana walivaa chupi nusu magoti
Halafu ulivyochafuka hakuna kukaa kwenye Kochi.[emoji23][emoji23]View attachment 1718194