Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kameweza kupiga hela sana ila sema tu kazi yenyewe ya laana na wanaoifanya wengi wao huishia kujiua na kasheshe zingine. Sasa wateja na mashabiki sijui tunabaki na hali gani. May God help us
Usijali mkuu sisi ni mashabiki tu, mda wowote unaweza kujitoa
, ila inaonekana ni deal sana kamekuwa kabilionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…