Vituko mitandaoni. Tupia chako

Haki ya nani tena sijawai vuta sigara.
Mi ilibakia kidogo nipate hizo alama 5 lakini nikakumbuka kuna kipindi nilikuwa nikitumwa madukani kununua sigara wakija kuvuta wakibakiza nami naiba nakwenda kumalizia vile vipisi. Nakohoa weee lakini nimo tu mpaka siku moja nikafumwa na anko nikapewa kichapo cha uhakika na sikurudia tena mpaka leo. Thanks anko japo kile kichapo duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…