Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mzee shikamoo tena!, unajua hatujaonana tangu ile asubuhi[emoji16]
Marahaba aisee. Pole na majukumu. Nasubiria hapa memes za kufa mtu. Kufurahi na kucheka kunaimarisha kinga ya mwili; na kwa hali ya sasa hili ni jambo la muhimu sana. Tusichoke kucheka na kufurahi kwa sababu hatujui yajayo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…