Vituko mitandaoni. Tupia chako

Siku hizi ni haya masimu kwa sababu hata uweke password 100 kuna siku utajisahau tu. Na pia zamani wazee wetu hasa wanawake walikuwa wanapotezea tu kwa sababu katika baadhi ya makabila mwanaume kuwa na michepuko ilichukuliwa kuwa ni jambo la kawaida. Sasa mambo yamebadilika sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…