Nakumbuka nilipata hasira nikazinunua tano. Maana siku unataka kukata kucha, hakaonekani lakini ukishapata mbadala unakikuta kimejikalisha mezani au juu ya decoder
Hahaaa na jamaa wanavyopenda kupigisha stories basi mi najibugi tu aiseee balaaa ......enheee ikawaje halafu mkifika tu na stori inaisha anasepa. Sasa kama anataka story tuwe washkaji si apaki bodaboda hapo tukae kimvulini anisimulie mpaka iishe