Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwahiyo umeamini kuwa hizo ni ban na siyo "avatar" kama munavyo dai?
Hujaelewa mkuu kanungira alikuwa anapost na kulalike akiwa na avatari ya ban hvyhvyo ni wiki sasa tunamuona humu akiwa kama amepigwa ban lkn anapost ila kwa sasa amekura ban km masaa 24 hivi au 12 yaliyopita
So kwa sasa wakipost tena na wako hvyo banned
Aisee itakuwa wao ni noma
 
Sina cha kuthibitisha mkuu mpaka hapo watakapost tena wakiwa banned
Zaidi nafahamu kuna kipindi miaka ya nyuma kidogo kila mtu humu JF alikuwa anaweka avatar hiyo hadi ikawa inachanganya watu
So mod wakaja na solution yoyote atakayetumia avatar hiyo atakura ban
Ndo hivyo tu navyojua hakuna zaidi cha kukuthibitishia

Kama vipi tuachane na hilo tupia MEMES kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…