Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapana,ila imenikumbusha kabila fulani na wao ni kama wasambaa tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wale wanaochomekea mbele wanaonekana safi, mkanda nje, hata kama shati limechanika mgongoni, ila analificha kwa kuvaa na koti? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
nilikuwa nacheka lakini ghafla nimehuzunika aiseee hiii picha imenihuzunisha sana ngoja nilog out kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…