Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mama hawezi kuwaacha wanae wateseke au wabaki na njaa, km wanaume tunavyosepa kuwahudumia watoto
hutu mama kakamatwa kwenye shamba la migomba akivunja ndizi na kuwapa wanawe wale kutoka ktk mkunguu aliouiba /kuuangusha katika mgomba
hapo km ni mwenye shamba utafanyaje
 
Kama ni mimi namuachia huru namuongezea na mikungu mingine na kama nina hela kiasi pia nampatia. Kwa maana anachokifanya hapo sio kwa ajili yake bali ni kwa ajili ya watoto. "Mama haui mwana"
 

The end doesn’t justify the means.
 
Nifanye nini sasa kaka, nitamuongezea kadri nilivyojaaliwa, nikiwa nina hela ya mkaa na mafuta ya kupikia nitampa, ikiwa nina pesa ya nyama, nitampa akasherehekee na wanawe, nikiwa na uwezo wa kumpa ajira nitampa ajira kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…