Yaani nashindwa kuelewa kwanini Lowassa alimuamini huyu msanii....!
Jamaa alitabiri Covid -19 ingekwisha mwisho wa mwezi wa March mwaka huu, cha hajabu watu wasiojitambua akili bado wanamuamini tu.
Yaani nashindwa kuelewa kwanini Lowassa alimuamini huyu msanii....! View attachment 1630545View attachment 1630546
Jamaa alitabiri Covid -19 ingekwisha mwisho wa mwezi wa March mwaka huu, cha hajabu watu wasiojitambua akili bado wanamuamini tu.