Ila hapo wamemuonea tu Waziri Kigangwala, hakuna kosa la kiuandishi wala kisarufi, hata kama angekuwa mtoto wa kiume ingekuwa " A son is always a blessing to his father" kwasababu:
Daughter ni her
Son ni his
His na her ni Pronoun (Possessive pronoun)
Nakumbuka somo la historia nilikuwa niko vizuri sana, topic inaitwa "Scramble for and pertition of African continent 1884-1886" under Germany Councellor Otto Von Bismarck.