Hadi nimeshangaa, mbali na kusoma kote kiarabu, sijawahi kujua kuwa kuna kitu kinaitwa "Shams al kubul!"
Shams = jua
Sasa hii al kubul ndio nimeshindwa kuijua!!
Rashid kanishinda tabia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]