Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hata kwa buku 20 tu unaweza kununua mzigo safi wa papo kwa papo. Haya jichanganye ukatongoze sasa, utapewa kalenda ya zaidi ya wiki au mwezi huku ukitangulizwa kudaiwa hela ya kusuka, kodi ya nyumba, umeme na maji, simu, nguo za bei, mama mgonjwa, nauli, nk,nk. Unaweza kupoteza laki kadhaa na mzigo hujui utapata lini. Kwa hiyo Wacha tu wanaume wengi watumie shortcut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…